Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ACT Wazalendo yakubali Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

Screenshot 2020 12 06 At 12.34.43 660x400.png ACT Wazalendo yakubali Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

Mon, 7 Dec 2020 Chanzo: millardayo.com

Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo imeielekeza Kamati ya Uongozi ya chama hicho kupendekeza jina la mwanachama atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Aidha, Kamati hiyo imeazimia kuwaruhusu Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Wabunge na Madiwani wa chama hicho waliochaguliwa kwenda kukiwakilisha na wananchi waliowachagua.

Kauli hiyo imetolewa leo Desemba 6, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu wakati akitoa maazimio ya kikao cha kamati kuu ya chama hicho kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Chanzo: millardayo.com