Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

ACT-Wazalendo: Kuzira uchaguzi ni kinyume na Katiba

ACT.jpeg ACT-Wazalendo: Kuzira uchaguzi ni kinyume na Katiba

Mon, 8 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CHAMA cha ACT Wazalendo Mkoa wa Njombe kimetangaza kushiriki uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Njombe mjini utakapotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutokana na nafasi hiyo kuwa wazi baada ya aliyekuwa Diwani Romanus Mayemba, kufariki dunia.

:

“Kuzira uchaguzi ni kukiuka katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwasababu katiba inatambua ushiriki wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi na kushindana kwa hoja.”amesema Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoani Njombe Ally Mhagama (Dk. Sagasaga)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live