Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

11 Wajitokeza nafasi ya Naibu Spika

CCM9 Mouldine Castiko akizungumza na wanahabari

Sun, 6 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumla ya Wanachama wa CCM 11 wamejitokeza Kuchukua fomu kuwania nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CCM ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Tulia Ackson ambaye kwa sasa ni Spika wa Bunge la Tanzania.

Jumla ya Wanachama wa CCM 11 wamejitokeza Kuchukua fomu kuwania nafasi ya Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CCM ili kuziba nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Tulia Ackson ambaye kwa sasa ni Spika wa Bunge la Tanzania. Zoezi lilianza Februari 04-06, 2022 katika ofisi tatu za Dar Es Salaam, Zanzibar na Dodoma ambapo Katibu wa NEC Organaizesheni wa CCM Dkt. Maudline Castico amesema zoezi hilo limehitimishwa leo February 06 na vitafuata vikao vya ndani kupitisha jina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live