Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 8 wafariki kwa Covid-19 nchini ndani ya mwezi

Ummy Mwalimu Uviko.jpeg Serikali yatoa Takwaimu za Covid-19 kwa kipindi cha mwezi mmoja

Tue, 8 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wizara ya Afya imesema kuanzia Februari 5, 2022 hadi Machi 4, 2022 kumekuwa na visa vipya 290 vya COVID-19, huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na Wagonjwa 175.

Katika kipindi hicho Wagonjwa 136 walilazwa ambapo 128 kati yao hawakuwa wamepata chanjo dhidi ya Virusi vya Corona, huku Vifo vikiwa nane.

Serikali imesema hadi sasa watu 2,664,373 wamepata Dozi kamili ya kujikinga na Virusi vya Corona.

Soma kwa undani taarifa Kamili ya Wizara ya Afya;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live