Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 220,049 wamefariki dunia kwa COVID-19 barani Afrika

File 20200312 111227 U33mmm Watu 220,049 wamefariki dunia kwa COVID-19 barani Afrika

Thu, 11 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hadi kufikia leo November 11, 2021, Idadi ya walioambukizwa virusi vya COVID-19 barani Afrika na kwa nchi zote 55 imefikia watu 8,544,078 huku waliopata chanjo za kujikinga na virusi hivyo ikiwa ni 125,503,345 barani kote.

Idadi ya vifo mpaka sasa ni watu 220,049 waliopoteza maisha kutokana na janga la Corona wakati watu 7,911,323 wameugua na kupona. Afrika Kusini mpaka sasa inaongoza kwa idadi kubwa ya maambukizi barani Afrika ikiwa na waathirika 2,924,622 na waliokufa ni 89,435.

Nchi nyingine zenye maambukizi makubwa ni Morocco (watu 947,761), Tunisia (watu 713,352), Ethiopia (watu 367,857), Libya (watu 362,915), Egypt (wagonjwa 340,269 ) na Kenya (wagonjwa 254,057 ).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live