Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watoto wanne wazaliwa Muhimbili mkesha wa Eid el Haji

13304 Watoto+pic TanzaniaWeb

Thu, 23 Aug 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Watoto wanne wamezaliwa usiku wa kuamkia leo kwenye mkesha wa Eid al Haji, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).

Taarifa iliyotolewa na hospitali hiyo leo Agosti 21 imeeleza kuwa kati ya watoto hao, wa kike ni wawili na wa kiume ni wawili.

“Watoto wote wamezaliwa kwa njia ya kawaida na kinamama wanaendelea vizuri,” imesema taarifa hiyo.

 

 

Chanzo: mwananchi.co.tz