Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watoto 24 kati ya 1,000 hufariki dunia

Kichanga Watoto 24 kati ya 1,000 hufariki dunia

Fri, 12 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wizara ya Afya imeendelea kuimarisha huduma kwa Watoto wachanga ambapo matokeo ya utafiti wa viashiria vya Afya ya Uzazi na Mtoto ya mwaka 2022 "TDHS 2022” yameonesha kuwa vifo vya watoto wachanga ni 24 kwa kila vizazi hai elfu moja.

Wizara ya Afya imeendelea kuimarisha huduma kwa Watoto wachanga ambapo matokeo ya utafiti wa viashiria vya Afya ya Uzazi na Mtoto ya mwaka 2022 "TDHS 2022” yameonesha kuwa vifo vya watoto wachanga ni 24 kwa kila vizazi hai elfu moja. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameliambia Bunge jijini Dodoma kuwa matokeo hayo yanaonesha umuhimu wa Serikali kuongeza nguvu katika kupunguza vifo vya watoto wachanga ili kufikia lengo la Kimataifa la kupunguza vifo vya watoto wachanga hadi kufikia 12 kwa kila vizazi hai elfu moja ifikapo mwaka 2030.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live