Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wataalamu wa afya waeleza usalama chanjo ya Corona

Chanjoopicc Data Wataalamu wa afya waeleza usalama chanjo ya Corona

Tue, 30 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Johns Hopkins wanasema utengenezwaji wa haraka wa chanjo za Corona haumaanishi hatua za kiusalama zilirukwa.

Teknolojia zinazotumiwa kutengeneza chanjo hizo zimekuwa zikishughulikiwa kwa miaka mingi ili kujiandaa na milipuko ya Virusi vya kuambukiza.

Pia, Serikali kutoka mataifa mbalimbali zilitoa fedha kwa watengenezaji wa chanjo mapema na hivyo kampuni kupata rasilimali walizohitaji kwa wakati.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live