Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi watakiwa kuacha hofu juu ya ugonjwa mpya

Mtwa Wananchi watakiwa kuacha hofu juu ya ugonjwa mpya

Wed, 13 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mganga Mkuu Mkoa wa Mtwara, Hamad Nyembea amewataka wananchi mkoani humo kutokuwa na hofu juu ya uwepo wa ugonjwa wa kutokwa na damu puani, ugonjwa ambao umeripotiwa katika mkoa wa Lindi, amesema ugonjwa huo ni wa kuridhi, na unachangiwa pia na hali ya hewa 

Submitted by exaud on Jumanne , 12th Jul , 2022Aidha kuhusu kuwapo kwa ugonjwa huo Mkoani Mtwara Nyembea anasema,  mpaka sasa hakuna taarifa ya uwapo wa ugonjwa huo Mkoani humo,

Nyembea ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa wa Mtwara, kufika haraka katika kituo cha afya  pindi watakapoona dalili yoyote ya kutokwa na damu puani 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live