Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

WHO yapendekeza dawa mbili kutumika kutibu Corona

CORONA CHANJO?fit=660%2C371&ssl=1 WHO yapendekeza dawa mbili kutumika kutibu Corona

Sat, 15 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wameitaja Dawa ya Baricitinib kutumika kutibu Wagonjwa mahututi wa #COVID19 na dawa ya Sotrovimab kutumika kwa walio na Corona isiyo kali

Dawa hizo zimependekezwa baada ya kupata matokeo ya majaribio saba yaliyohusisha watu 4,000 waliokuwa na maambukizi ya Virusi hivyo

Dunia imeendelea kuhangaika na janga la Corona huku utoaji chanjo ukiendelea ili kudhibiti kasi ya maambukizi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live