Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Visa vipya nane vya Ebola vyaripotiwa

Ebola Case23 Visa vipya nane via Ebola vyaripotiwa

Thu, 4 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya #Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo

Maafisa wa Afya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamethibitisha Visa vipya nane vya #Ebola katika Jimbo la Kivu Kaskazini, ikiashiria Mlipuko mpya katika Taifa hilo Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ya Visa hivyo, waliofariki dunia ni sita. Mlipuko uliopita ambao uligharimu maisha ya watu 2,287 tangu Agosti 2018 ulitangazwa kuisha Juni 2020

Chanzo: www.tanzaniaweb.live