Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Ummy afanya ziara MSD

Ummy123 Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya

Fri, 21 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati ikielezwa uwepo wa uhaba mkubwa wa dawa kwenye vituo vya kutoa huduma za afya, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo amefanya ziara kwenye bohari kuu ya Dawa nchini MSD

Katika ziara hiyo Waziri Ummy amebaini kuwa wakati mahitaji ya huduma za dawa yakiwa ni shilingi Bilioni 519 kwenye vituo vya kutoa huduma za afya, Bohari hiyo ina uwezo kutoa huduma ya Dawa zenye thamani ya shilingi Bilioni 160 tu.

View this post on Instagram

A post shared by Clouds TV ???????? (@cloudstv)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live