Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Majaliwa awaondoa hofu watanzania kuhusu huduma karantini

Mon, 6 Apr 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mtu yeyote akithibitika kuwa na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (Covid-19) atapelekwa eneo lililoandaliwa bila kujali cheo chake.

Chanzo: mwananchi.co.tz