Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Utafiti: Unywaji maji mengi hupunguza hatari ya kufa mapema

Maji Msl.jpeg Utafiti: Unywaji maji mengi hupunguza hatari ya kufa mapema

Wed, 4 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Utafiti wa Maabara ya Tiba ya Kurekebisha Moyo na Mishipa katika Taasisi ya Afya ya Taifa (NIH) ya #Marekani umeonesha Unywaji Maji ya Kutosha unaepusha Magonjwa Sugu na Kuzeeka haraka.

Chapisho jipya la #eBioMedicine katika Uchunguzi uliofanywa kwa Watu 11,255 umeonesha kiwango kikubwa cha Chumvi kwenye Damu ya Watu wasiokunywa Maji ya Kutosha husababisha Binadamu kupunguza hadi Miaka 15 ya kuishi.

Wataalamu wa #Afya wanashauri Wanawake kunywa Lita 2.7 Maji kila Siku, na Wanaume wanywe Lita 3.7. Pendekezo hili linajumuisha vinywaji vyote na vyakula vyenye Maji mengi ikiwemo Matunda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live