Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Unywaji wa Beer hupanua na kuharibu Moyo - Prof. Janabi JKCI

DC Alcohol FAQ Can Alcohol Cause Heart Attacks E1582146710734 Unywaji wa Beer hupanua na kuharibu Moyo - Prof. Janabi JKCI

Fri, 26 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Tanzania (JKCI) Profesa Janabi amesema kubwa matumizi makubwa ya Pombe zote hupelekea matatizo makubwa kwenye Moyo.

Profesa Janabi ambaye ni Dakatri Bingwa wa masuala ya Moyo ameeleza kubwa kitaalamu inashauriwa mtu atumie kati ya Beer moja hadi mbili tu kwa siku na ziwe na mpishano wa saa moja na kwa wale wanaotumia vinywaji vikali wanashauriwa kunywa "shoti" moja tu ili kuulinda moyo.

"Ukienda baa Saa Moja hadi Saa mbili ya Usiku chupa moja. Chupa ya pili unaanza kunywa Saa mbili hadi Saa Tatu baada ya hapo tazama mpira Liverpool inavyozifunga timu zingine au Simba inavyozifunga timu zingine." - Dr. Mohammed Janabi, Mkurugenzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

Chanzo: www.tanzaniaweb.live