Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAFITI: Mafua ya kawaida yanavyozuia mtu kupata COVID

0be08989 002b 401e A0c1 A2b19bedb6ee Corona World 4a321e62 586x394 478x394 UTAFITI: Mafua ya kawaida yanavyozuia mtu kuata COVID

Tue, 11 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watafiti wa Imperial College of London wamebaini watu wenye 'T-Cells' nyingi wana uwezekano mdogo wa kupata Virusi vya Corona. T-Cells ni kati ya seli nyeupe za damu ambazo husaidia kuleta kinga mwilini

Wamebaini Mwili unapokuwa umeathiriwa na aina nyingine ya Virusi kama kwenye mafua ya kawaida, huzalisha kiasi kikubwa cha 'T-Cells' na kuulinda mwili dhidi ya COVID-19

Hata hivyo, watafiti hao wamesema namna sahihi ya kujikinga na Corona ni kupata chanjo kamili na 'Booster'

Chanzo: www.tanzaniaweb.live