Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAFITI: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema

Shutterstock 1107674573 1080x675 UTAFITI: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema

Wed, 7 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza hatari ya kupata magonjwa kama vile Alzheimer's na Parkinson.

Aidha Wanasayansi chuoni hapo wametilia mkazo suala hilo ambapo wameeleza kuwa kufunga pia kunaweza kupunguza uwezekano wa watu kupata magonjwa ya kudumu.

Alzheimer ni ugonjwa mbao unahusisha sehemu za ubongo zinazodhibiti mawazo, kumbukumbu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live