Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UTAFITI: Faida kwa walaji wa tambi

102055 TAMBI+PC UTAFITI: Faida kwa walaji wa tambi

Sat, 11 Apr 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Marekani. Msanii wa Kiitaliano Sophia Loren aliwahi kusema umbo lake la uwembamba limechangiwa na kula tambi.Habari njema ni kwamba walaji wa tambi wamo katika ulimwengu wa sayansi sasa.

Kwa mujibu wa utafiti mpya uliotolewa na The Obesity Society katika mkutano uliofanyika Novemba mwaka jana wote wanaokula tambi wana afya bora kuliko wasiokula. Lakini watafiti kutoka Taasisi ya Nutritional Strategies, walikusanya data kutoka Marekani zilizobaini kuwa walaji wa tambi pia hula mafuta kidogo na sukari kidogo. Kwa majumuisho, wanaokula tambi hupata vitamini na fibre (nyuzinyuzi).

Chanzo: mwananchi.co.tz