Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UNICEF: Corona yasitisha jitihada kudhibiti ukeketaji

Ukeketaji Corona yasitisha jitihada kudhibiti ukeketaji

Mon, 7 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mataifa ambayo tayari yanakabiliwa na ongezeko la umasikini, ukosefu wa usawa na migogoro yanashuhudia janga la Corona likitishia zaidi miaka ya maendeleo ya kukomesha ukeketaji

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) linasema hata kabla ya Corona , Wasichana Milioni 68 walikadiriwa kuwa katika hatari ya ukeketaji kati ya 2015 na 2030

Kutokana na mlipuko huo kuvuruga programu kadhaa zinazosaidia kulinda wasichana dhidi ya vitendo hivyo, visa vya ziada Milioni 2 vya ukeketaji vinaweza kutokea katika muda wa miaka kumi ijayo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live