Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

UFAFANUZI: Mama aliyesemekana amejifungua KOPO Mwanza.

1496 Kopo 2 660x400

Thu, 18 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Kutoka Kituo cha Afya Igoma Mwanza, Mama mwenye umri wa miaka 29, ambaye ana ujauzito wa miezi 6, amekwenda kituo cha Afya kuomba ajifungue Kopo ambalo anadai aliota usiku amewekewa.

 AyoTv tumefika katika kituo cha Afya na tumezungumza na wahusika ili kuweza kufahamu ukwel, Zaituni Lihonge ndiye alikuwa Daktari wa zamu katika kituo hicho cha afya ambaye alishughulika na zoezi zima la kumhudumia mama huyo, Bonyeza PLAY kumtazama akielezea hali halisi.



CHADEMA KUHUSU KUMSIMAMISHA MGOMBEA JIMBO LA KINONDONI



 

Chanzo: millardayo.com