Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Teknolojia inazidi kukua, haina haja ya kwenda kutibiwa India

1538 Mna 660x400

Fri, 19 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 18, 2018 Mkurugenzi wa J.P.M hospitali Dr. Ameir Binzoo ameongelea ujio wa Madaktari bingwa kutoka India ambao watakuja Tanzania tarehe 20 na 21 ya mwezi January 2018 kushirikiana na Madaktari wa Hospitali ya J.P.M iliyopo DSM ambao watahudumia wagonjwa mbalimbali bure.

Akizungumza na waandishi wa habari Dr Binzoo amesema ni muhimu kwa watu kujitokeza siku hiyo ya jumamosi kwani Madaktari hao amekuja kwa ajili ya kutibu watu magonjwa mbalimbali na ni bure kama mifupa, moyo, mifereji ya mikojo, na uzazi kwa kina mama.

BREAKING: ‘Kuna viharufu vya ufisadi kwenye manunuzi’ Waziri Ndalichako baada ya kutembelea MUHAS



 
Chanzo: millardayo.com