Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tamko la Hospitali ya Kairuki baada ya kufunguliwa kesi ya fidia Tsh. Bilioni 1.5

088888888 660x400 Tamko la Hospitali ya Kairuki baada ya kufunguliwa kesi ya fidia Tsh. Bilioni 1.5

Mon, 4 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Baada ya kuripotiwa kwa taarifa za Florah Lengwana kufungua shauri la madai Mahakama Kuu dhidhi ya Kairuki Hospital na Dr. George Chugulu akidai zaidi ya Bil 1.5 kwa madai ya uzembe na uharibifu aliofanyiwa wakati akipatiwa matibabu mwaka 2018 na 2019 hadi kupelekea kuondolewa kizazi na kupoteza tumaini la kushika mimba, Kairuki Hospitali wametolewa ufafanuzi suala hilo.

Baada ya kuripotiwa kwa taarifa za Florah Lengwana kufungua shauri la madai Mahakama Kuu dhidhi ya Kairuki Hospital na Dr. George Chugulu akidai zaidi ya Bil 1.5 kwa madai ya uzembe na uharibifu aliofanyiwa wakati akipatiwa matibabu mwaka 2018 na 2019 hadi kupelekea kuondolewa kizazi na kupoteza tumaini la kushika mimba, Kairuki Hospitali wametolewa ufafanuzi suala hilo. Arafa Juba ni Afisa Habari na Mawasiliano Kairuki Hospital na hapa anatoa ufafanuzi kuhusiana na kile alichokiita upotoshwaji kwa baadhi ya taarifa zilizoandikwa mitandaoni na kwenye baadhi ya vyombo vya habari kuhusu madai hayo na kupelekea kuzua hofu kwa Wateja wao.

Chanzo: millardayo.com