Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taasisi ya Imetosha yafanya uchunguzi kwa wenye albinisim (Picha +Video)

2538 Screen Shot 2018 02 03 At 12.40.55.png

Sat, 3 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Taasisi ya Imetosha kwa kushirikiana na Hospital ya Ocean Road imewafanyia uchunguzi watu wenye matatizo ya ngozi (Albino) zaidi ya mia moja.



Akiongea na Bongo5, mratibu wa zoezi hilo Mr, Mdimu amebaisha kuwa mpaka sasa wamepokea watu zaidi ya mia moja waliokuja kufanyiwa uchunguzi wa saratani ya ngozi.



“Tumepokea watu zaidi ya mia moja mpaka sasa na tunategemea kupata watu zaidi maana zoezi hili ni leo na kesho. Hivyo ni vyema watu wenye uhitaji wa matibabu wakafika Hospitalini hapa kuonana na wataalamu wa masuala ya ngozi waweze kuwapatia matibabu na ushauri.”









Chanzo: bongo5.com