Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Taarifa mpya kuhusu ulaji wa nyama "kula nyama masaa nane baada yakuchinjwa"

Nyama Cov 660x400 Taarifa mpya kuhusu ulaji wa nyama "kula nyama masaa nane baada yakuchinjwa"

Thu, 12 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Kaimu msajili wa bodi ya nyama Tanzania Amani Sichwale, amesema kiafya  mtu anatakiwa ale nyama ya ng’ombe masaa nane baada yakuchinjwa ili  kuruhusu masuala ya kibaologia yakamilike,kemikali zipungue pamoja na homoni kufa.

Sichwale ametoa kauli hiyo mkoani Arusha wakati akikabidhi mashine mpya za ukataji wa nyama baada yakupiga marufuku matumizi ya magogo kwenye ukataji

“Chinja ng’ombe na kula nyama palepale unakula misuli lazima joto lipungue ndio maana watu wanakuwa na hasira sana kwa sababu ya kula homoni ndio maana unakuta nyama inatetemeka”-Amani

DUHH! MKAA WA KINYESI CHA BINADAMU UNAVYOTUMIKA KUCHOMA NYAMA NA KUPIKA CHAKULA

Chanzo: millardayo.com