Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TBS yafanya msako Kariakoo yakamata vipodozi vyenye viambata sumu (+video)

Maxresdefault 2 1 660x400 TBS yafanya msako Kariakoo yakamata vipodozi vyenye viambata sumu (+video)

Mon, 7 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Maafisa wa Shirika la Viwango nchini (TBS) wamefika Soko la Kariakoo kufanya ukaguzi wa bidhaa ambazo hazijathibitishwa na kukutana na baadhi ya vipodozi ambavyo vinatajwa kuwa na viambata sumu.

Maafisa wa Shirika la Viwango nchini (TBS) wamefika Soko la Kariakoo kufanya ukaguzi wa bidhaa ambazo hazijathibitishwa na kukutana na baadhi ya vipodozi ambavyo vinatajwa kuwa na viambata sumu. Akizungumza wakati akiongoza zoezi hilo, Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa Shirika hilo Roida Andusamile amesema kuwa Wahusika wa vipodozi hivyo watachukuliwa hatua za kisheria kwa kosa hilo la uzaaji wa vipodozi vyenye viambata sumu.

Chanzo: millardayo.com