Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simiyu kupata Bilioni 5.2 za dawa

Waziri Ummy Asikia Kilio Ajira Wataalamu Wa Maabara Simiyu kupata Bilioni 5.2 za dawa

Wed, 12 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema mkoa wa Simiyu umeongezewa fedha za dawa kutoka shilingi Bilioni 3.9 hadi kufikia shilingi Bilioni 5.2 kwa mwaka wa fedha wa 2023 /2024.

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema mkoa wa Simiyu umeongezewa fedha za dawa kutoka shilingi Bilioni 3.9 hadi kufikia shilingi Bilioni 5.2 kwa mwaka wa fedha wa 2023 /2024. Waziri Ummy ameyasema hayo wakati akizungumza na Wananchi katika kata za Nkoma na Mwalushu akiwa katika ziara yake mkoani Simiyu yenye lengo la kukagua ujenzi wa miundombinu na vifaa tiba katika maeneo mbalimbali ya kutolea huduma za afya.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live