Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Siku ya Kimataifa ya Kondomu, unafamu nini kuhusu kujikinga?

Instructie Condooms Siku ya Kimataifa ya Kondomu, unafamu nini kuhusu kujikinga?

Mon, 13 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya kondomu siku moja kabla ya siku ya wapendanao kukumbushana watu kujikinga na magonjwa ya zinaa na mimba zisizotarajiwa.

Kondomu hufanya kama kizuizi cha kimwili kuzuia mimba zisizohitajika.

Kwa kutumia kondomu washirika husaidia kupunguza magonjwa kama vile kisonono, Klamidia na VVU/UKIMWI miongoni mwa magonjwa mengine.

Kuna aina tofauti za kondomu za kutumia ikiwa ni pamoja na kondomu za kiume na za kike. Mbali na kuzuia magonjwa ya zinaa, kondomu huzuia takriban asilimia 98 ya mimba zinapotumiwa kwa usahihi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live