Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali imesema Watanzania Milioni 1.3 wamepata chanjo ya COVID-19

FE3c74eXMAAh9Kf Serikali imesema Watanzania Milioni 1.3 wamepata chanjo ya COVID-19

Tue, 23 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Afya Dr. Gwajima amesema kuwa hadi kufikia November 19, 2021 Watanzania 1,359,624 wameshapata chanjo.

Waziri wa Afya Dr. Gwajima amesema kuwa hadi kufikia November 19, 2021 Watanzania 1,359,624 wameshapata chanjo. Waziri Gwajima ameyasema hayo leo November 23, 2021 wakati akipokea dozi 499,590 za chanjo ya Pfizer ambazo zitatumika kuwakinga Watanzania 249,795 kwa dozi mbili mbili kwa kila mtu

Chanzo: www.tanzaniaweb.live