Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Serikali: Hatutavumilia wazembe hospitalini

22840b58117308b67314b5e97aa9bd16 Serikali: Hatutavumilia wazembe hospitalini

Sat, 5 Dec 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

“Serikali haitovumilia tena vifo vya akina mama wajawazito vinavyosababishwa na uzembe wa watumishi wa sekta ya afya wakiwa kazini,” imeeleza Serikali.

Kupitia kwa Mganga Mkuu wa Serikali , Prof Abel Makubi wakati alipokuwa anafungua kikao kazi cha timu ya uongozi wa afya ya Mkoa wa Mwanza kilichofanyika katika Wilaya ya Misungwi kikiwa na lengo la kujadili vifo vitokanavyo na uzazi albainisha kuwa Serikali hatamvumilia mtumishi mzembe hospitalini

“Vifo vya akina mama wajawazito hatutavivumilia tena kila mtumishi wa afya anapaswa kutafuta mbinu mpya ni namna gani atahakikisha mtu anayekuja hospitali kujifungua apotezi maisha” amesema Prof Makubi.

Chanzo: habarileo.co.tz