Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi! Bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa

Bangijpg Pichaa Rasmi bangi kuuzwa kwenye maduka ya dawa

Thu, 28 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mamlaka ya Kudhibiti Dawa ya Zimbabwe imeruhusu uuzwaji wa bangi katika maduka ya dawa ambapo itakuwa zikitumika kama sehemu ya dawa, ambapo pia wauzaji wa rejereja na jumla waohitaji kufanya biashara nje ya Nchi hiyo kuomba kibali Serikalini.

Mkakati huo ni sehemu ya kuongeza pato ikiwa ni mara ya kwanza kwa taifa hilo kutoa ruhusa hiyo kwa ajili ya dawa.

Sehemu ya masharti kwa wazalishji ni kuhakikisha wanawasilisha sampuli zote za bidhaa na "cheti cha uchambuzi kutoka kwa maabara iliyoidhinishwa

Chanzo: www.tanzaniaweb.live