Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia ametoa Bilioni 80 za dawa, vipimo na vifaa tiba (+video)

Video Archive
Thu, 22 Apr 2021 Chanzo: millardayo.com

“Rais Samia ameridhia na ametoa Bilioni 80 mwaka huu mwezi huu April 21 ziende kuimarisha eneo la upatikanaji wa dawa, vipimo na vifaa tiba, eneo ambalo limezungumzwa kuwa kero sana kwa Wananchi wetu sasa hivi, utaratibu wa kununua dawa hizi haraka sana unaendelea hili tuzifikishe mahali sahihi”———Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima

“Rais Samia ameridhia na ametoa Bilioni 80 mwaka huu mwezi huu April 21 ziende kuimarisha eneo la upatikanaji wa dawa, vipimo na vifaa tiba, eneo ambalo limezungumzwa kuwa kero sana kwa Wananchi wetu sasa hivi, utaratibu wa kununua dawa hizi haraka sana unaendelea hili tuzifikishe mahali sahihi”———Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima “Hii ni nyongeza ya fedha iliyotolewa kipindi cha July mpaka December ya Bilioni 43 zikaongezwa nyingine kama 18″———GWAJIMA

Chanzo: millardayo.com