Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia Apokea Taarifa ya Tathmini ya Ugonjwa wa Covid-19

Samia22?fit=856%2C560&ssl=1 Rais Samia Apokea Taarifa ya Tathmini ya Ugonjwa wa Covid-19

Mon, 17 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Apokea Taarifa ya Tathmini ya Ugonjwa wa Covid-19 May 17, 2021 by Global Publishers

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona COVID -19 nchini kutoka kwa mwenyekiti wa kamati hiyo Prof. Said Aboud Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17/5/2021.

Chanzo: globalpublishers.co.tz