Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC asitisha likizo Waganga Wakuu

Screenshot 2021 09 24 At 17.10.48 660x400.png RC asitisha likizo Waganga Wakuu

Fri, 24 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesitisha likizo za Waganga Wakuu wa wilaya mkoani humo, ili warudi kazini kuhamasisha utoaji wa chanjo ya UVIKO – 19.

Homera ametangaza uamuzi huo wakati wa semina iliyoshirikisha Wajumbe wa kamati ya afya ya msingi ya mkoa wa Mbeya.

Amesema amefikia uamuzi huo baada ya kuona zoezi la utoaji chanjo dhidi ya UVIKO – 19 mkoani humo si la kuridhisha.

Chanzo: millardayo.com