Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RAIS JPM: KUNA CHANJO YA KANSA INAZUIA WATOTO WA KIKE KUZAA

11566 Magufuli+pic RAIS JPM: KUNA CHANJO YA KANSA INAZUIA WATOTO WA KIKE KUZAA

Thu, 28 Jan 2021 Chanzo: zanzibar24.co.tz

“Niiombe Wizara ya Afya isiwe inakimbilia mambo ya machanjo chanjo bila yenyewe kujiridhisha. Ipo nchi fulani walichanjwa watoto wake wa kike, wanaambiwa ni kwa ajili ya kuzuia cancer ya kizazi, imekuja kugundulika ile chanjo ilikuwa ni ya kuwazuia wasizae.”

“Chanjo hazifai. Kama Wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya UKIMWI ingeshaletwa… Lazima Watanzania tuwe waangalifu kwa mambo ya kuletewa letewa, msije mkafikiria mnapendwa sana. Taifa hili ni tajiri, Afrika ni tajiri, kila mmoja anaitamani ”

“Niiombe Wizara ya Afya isiwe inakimbilia mambo ya machanjo chanjo bila yenyewe kujiridhisha. Ipo nchi fulani walichanjwa watoto wake wa kike, wanaambiwa ni kwa ajili ya kuzuia cancer ya kizazi, imekuja kugundulika ile chanjo ilikuwa ni ya kuwazuia wasizae.”

Chanzo: zanzibar24.co.tz