Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nyama ya Nguruwe yapigwa 'Stop' walaji hatarini

E0d100e024e3056c7673402177a71ef9 Nyama ya Nguruwe yapigwa 'Stop' walaji hatarini

Mon, 18 Jan 2021 Chanzo: habarileo.co.tz

WALAJI wa Nyama ya Nguruwe wapo hatarini kutokana na kuzuka kwa homa ya Nguruwe (Afircan Swine Fever) katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, Annamringi Macha amepiga marufuku biashara ya nyama hiyo ya Nguruwe na uuzaji wa nguruwe wenyewe kutokana na ugonjwa huo.

Imeelezwa kuwa toka kuzuka kwa homa hiyo nguruwe zaidi ya 500 wamekufa.

Akizungumza, Mkuu huyo wa wilaya amesema amechukua uamuzi huo ili kuwakinga wananchi na watumiaji wa kitoweo hicho na madhara ya ugonjwa huo Swine.

Chanzo: habarileo.co.tz