Tue, 6 Jun 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mbunge Aida Joseph Khenani alitoa hoja kuwa Wananchi wanapokata Bima za Afya za NHIF wanawekewa ukomo wa baadhi ya huduma na dawa wanapofika Hospitali hali inayofanya baadhi waone hakuna umuhimu wa kuwa na Bima hiyo.
Mbunge Aida Joseph Khenani alitoa hoja kuwa Wananchi wanapokata Bima za Afya za NHIF wanawekewa ukomo wa baadhi ya huduma na dawa wanapofika Hospitali hali inayofanya baadhi waone hakuna umuhimu wa kuwa na Bima hiyo. Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amejibu kuwa “NHIF hakuna madaraja labda amechanganya na CHF ambapo ndipo kuna madaraja.”
Chanzo: www.tanzaniaweb.live