Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mzio ndio sababu ya mafua yasiyopona

Accd5eb976cdf2e5ca38234d4c562562 Mzio ndio sababu ya mafua yasiyopona

Wed, 25 Nov 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

Imeelezwa kuwa tatizo la mafua yasiyopona linatokana na mzio ‘allergy’.

Hayo yamesemwa na Dk Abraham Mwakalambo wa Zahanati ya Mkolemba, wilayani Ilala, Dar es Salaam na kushauri mtu anayesumbuliwa na tatizo hilo afanye kipimo cha mzio ili kujua ni kitu gani kinachomsababishia ugonjwa huo.

Amesema ugonjwa wa mafua unaweza kumasababishia mtu kupata ‘pneumonia’ na kupoteza kabisa uwezo wa kuhisi harufu.

Chanzo: habarileo.co.tz