Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muhimbili yaweka mashine za kujifukiza

Screenshot 2021 03 04 At 17.04.58 660x400.png Muhimbili yaweka mashine za kujifukiza

Thu, 4 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine nne za kutoa dawa kwa njia ya mvuke ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na magonjwa yanayohusiana na mfumo wa upumuaji.

Mkurugenzi  Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili,  Profesa Lawrence Museru amesema mashine  hizo tatu  zimefungwa hospitali hiyo ya Upanga na moja imefungwa Muhimbili Mloganzila ikiwa ni njia mojawapo katika kupambana na magonjwa ya kupumua pamoja na Corona.

“Mashine hii ya kujifukiza inaenda sambamba na dawa za asili kwani inatumia dawa ya bupiji, inawekwa kwenye maji yanayotoa mvuke kisha mgonjwa anajifukiza kwa dakika tano hadi 10,”  Museru

MAPYA GENIUS WA HESABU APATA SHULE YA KISHUA “KURUSHWA DARASA NI KIBOKO, ANAWAZIDI DARASA LA SABA”

Chanzo: millardayo.com