Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Muhimbili kuhifadhi mayai wasiotaka kuzaa haraka

Sperm Sperm Muhimbili kuhifadhi mayai wasiotaka kuzaa haraka

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema kuanzia Januari mwaka 2024 watafungua jengo linalohusika na huduma za upandikizaji mimba.

Pia, watatoa huduma ya kuhifadhi mayai kwa watu ambao hawahitaji kupata watoto kwa wakati husika.

Profesa Janabi ameyasema hayo jana Jumapili Disemba 10, 2023 katika hafla ya uzinduzi wa Profesa Jay Foundation iliyoambatana na harambee ya uchangiaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live