Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mtambo kuzalisha hewa tiba ya Oksijeni wazinduliwa

821030f03836f2479e78d81051884aaa Mtambo kuzalisha hewa tiba ya Oksijeni wazinduliwa

Fri, 1 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Julai 1, 2022, amezindua mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya Oksijeni wenye gharama ya bilioni 1.5.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Julai 1, 2022, amezindua mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya Oksijeni wenye gharama ya bilioni 1.5. Uzinduzi huo umefanyika kwenye hospitali ya Benjamin Mkapa, mkoani Dodoma, ikiwa ni utekelezali wa miradi ya afya nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live