Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Moderna kujenga kiwanda cha Chanjo ya Corona kenya

Modernavaccccx Moderna kujenga kiwanda cha Chanjo ya Corona kenya

Tue, 8 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Moderna ya Marekani inayotengeneza chanjo mbalimbali zikiwemo za corona imesema inajenga kiwanda chake cha kwanza Afrika katika Nchi ya Kenya kitakachozalisha chanjo ya messenger RNA (mRNA) na chanjo za corona.

Moderna ilisema inatarajia kuwekeza takriban dola milioni 500 katika kituo cha Kenya na kusambaza kama dozi milioni 500 za chanjo ya mRNA kwa bara la Afrika kila mwaka na pia ina mipango ya kuanza kujaza dozi za chanjo yake ya corona barani Afrika mpaka 2023.

Chanjo ya Moderna ya COVID ilileta mauzo ya dola Bilioni 17.7 mwaka 2021 na imeidhinishwa kutumika kwenye zaidi ya nchi 70.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live