Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mloganzila wafanya upasuaji wa makengeza

Upasuajiiii (600 X 398) Mloganzila wafanya upasuaji wa makengeza

Wed, 13 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa kushirikiana na Madaktari Bingwa wabobezi kutoka nchini Sudan imefanya upasuaji rekebishi kwa watu wenye macho ya makengeza.

Pia, wamefanya upasuaji wa macho kwa wagonjwa wenye changamoto ya kufunga kwa vifuniko vya macho vinavyowezesha jicho kuzunguka na kuona.

Upasuajji huo umefanyika kwenye kambi maalum ya upasuaji rekebishi wa macho ambao unahusisha watu wenye uvimbe nje ya jicho, makengeza kwa watu wazima, majeraha yatokanayo na ajali au makovu ya muda mrefu ya macho, wanaotoka machozi kwa muda mrefu kutokana na kuziba kwa njia za machozi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live