Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkenya aibuka na Muuguzi Bora Duniani

Anna Duba Anna Duba

Fri, 13 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muuguzi Mkenya kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Marsabit nchini Kenya, Anna Duba ameshinda Tuzo ya Muuguzi Bora Duniani katika hafla kuu iliyofanyika Dubai na kupokea kiasi cha Sh milioni 580.749 (Ksh27m).

Anakuwa Mkenya mwingine kunyakua Tuzo za juu za kaada baada ya Global Teachers kumtangaza Mwalimu wa Sayansi kutoka mashambani nchini Kenya mwaka 2019 kama Mwalimu Bora na kumtunza tuzo ya kiasi cha dola za marekani milioni 1 sawa na zaidi ya Sh bilioni 2.3.

Peter Tabichi alifahamika kwa kugawa zaidi ya theruthi tatu ya mshahara wake kwa wenye uhitaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live