Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Milioni 11 wapata chanjo Corona

4347658199431d31fc84d810da6fdd2e Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya

Thu, 21 Jul 2022 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Julai 18, 2022 wananchi milioni 11.5 walikuwa wamepata chanjo kamili ya ugonjwa wa virusi vya corona (Covid 19).

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi kufikia Julai 18, 2022 wananchi milioni 11.5 walikuwa wamepata chanjo kamili ya ugonjwa wa virusi vya corona (Covid 19). Akizungumza na viongozi wa dini mkoani Tanga jana Julai 20, 2022 amesema hiyo ni sawa na asilimia 37 ya wanaotakiwa kuchanjwa.

Chanzo: www.habarileo.co.tz