Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mayai ya uzazi kuanza kuzalishwa maabara

Vitro Gametogenesis.jpeg Mayai ya uzazi kuanza kuzalishwa maabara

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kampuni ya Conception, kutokea San Francisco California nchini Marekani, Kwa sasa wanashughulikia teknolojia inayoitwa (vitro gametogenesis) ambayo inalenga uundaji wa mayai ya uzazi ya mwanadamu kwenye maabara

Lengo la kampuni hiyo ni kuleta suluhisho kwa watu ambao wanakabiliwa na changamoto ya kushika ujauzito, kama vile wanawake ambao wamepoteza mayai yao kutokana na matibabu au kupungua kwa mayai ya uzazi jambo linalohusishwa na umri.

"Binafsi nadhani kile ambacho tunakifanya kitaenda kubadilisha moja kwa moja mtazamo uliopo kwenye jamii, Na furaha yangu ni kufanyia kazi teknolojia ambayo itaenda kubadilisha maisha ya mamilioni ya watu" alisema Hurtado ambaye ni afisa mkuu wa kisayansi kutoka kwenye kampuni hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live