Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maralia imepungua nchini kutoka 14.5 % hadi 7.5%

Mbuu Wa Malaria Mbuu waenezao malaria

Thu, 26 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkurugenzi Msaidizi, Huduma za Jamii katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt.Rasheed Maftah amesema Maambukizi ya ugonjwa Malaria nchini yamepungua.

Mkurugenzi Msaidizi, Huduma za Jamii katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt.Rasheed Maftah amesema Maambukizi ya ugonjwa Malaria nchini yamepungua. Maftah amesema maambukizi yamepungua kwa asilimia 14.5 hadi kufikia asilimia 7.5. hali ambayo imepelekea kupunguza idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa huo kulingana na hapo awali idadi ya vifo ilikuwa ni kubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live