Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Malkia Elizabeth II Akutwa na Covid-19

Malkia 123 Malkia Elizabeth II Akutwa na Covid-19

Sun, 20 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KASRI la Buckingham limethibitisha kuwa Malkia wa Uingereza Elizabeth II amebainika kuugua ugonjwa wa Covid- 19 leo Februari 20, 222

Malkia huyo amepata baadhi ya dalili za Covid 19 ikiwemo kupata baridi kali na ataendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa Madaktari na kufuata miongozo ya Covid 19 ikiwemo kujitenga.

Naye Waziri Mkuu Boris Johnson kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Twitter amesema anamuombea Malkia aweze kupona haraka huku akitoa wito kwa Waingereza kumuombea Malkia kupona haraka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live