Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda apata watoto mapacha "niliitwa tasa"

WhatsApp Image 2020 08 31 At 04.31.10 660x400.jpeg Makonda apata watoto mapacha "niliitwa tasa"

Mon, 31 Aug 2020 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda amemshukuru Mungu kwa kupata watoto mapacha wa Kiume na wakike.

“Niliyeitwa tasa ulinipa mtoto Keagan, ukaona haitoshi Mungu wangu umenipa mapacha wa kiume na wa kike hii yote ni kutangaza ukuu wako maishani mwangu” Makonda

“Kwa wale ambao bado hawajakuamini na wanateseka juu ya uzazi, naomba kupitia Watoto hawa (Keagan na wadogo zake Mapacha) wakauone Ukuu wako YESU mwana wa Mungu ulie hai, hongera sana kipenzi changu Maria Mungu amejitwalia utukufu kupitia wewe” Makonda

TAZAMA GARI LINALOPAA ANGANI, NDIO LA KWANZA KUWEZA

Chanzo: millardayo.com