Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Madkatari wa meno hatarini kupata COVID-19

Meno.jfif Madaktari wa meno

Thu, 5 Aug 2021 Chanzo: Jamii Forums

Chama cha Wataalamu wa Afya ya Kinywa na Meno #Tanzania (TDA) kimewataka Madaktari wa Meno kuwa makini wanapotoa huduma kwani wapo hatarini zaidi kuambukizwa

Hii ni kutokana na Matibabu wakati mwingine huwa chanzo cha kutengeneza matone ya Mate yanayoruka kutoka kinywani na kuweza kuwa chanzo cha kusambaa kwa Maambukizi

Rais wa TDA, Dkt. Deogratius Kilasara amesema tangu Wimbi la Tatu kuingia Chama hicho kimeshapoteza Wanachama watatu kutokana na #COVID19. Asema eneo wanalofanyia kazi ndio kiwanda cha kusambaza ugonjwa hivyo ni muhimu kwao kujilinda na kuwalinda wengine

Chanzo: Jamii Forums