Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kutafuta nguvu za kiume kwa pelekea kulazwa hospitali

Fri, 26 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Wanaume watatu nchini Zambia wamelazwa hospitali baada ya kunywa dawa za asili zinazodaiwa kuongeza nguvu za kiume.



Kiongozi wa mkoa, Chanda Kasolo, ameiambia BBC kuwa mara baada ya kunywa dawa hizo, walianza kutapika kitu ambacho kilisababishwa na mchanganyiko wa chakula, pombe na dawa hizo za asili.

Wagonjwa hao wapo katika kituo hiko cha kipindupindu na wanaendelea vizuri na matibabu, hata hivyo si wagonjwa wa kipindupindu bali walikunywa dawa ya kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ndoa inayojulikana kama Mvubwe.

Chanzo: bongo5.com